Header Ads

Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu imetangaza kukusanya marejesho ya mikopo kupitia M-PESA

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Asangye Bangu akiongea na waandishi wa habari Wakati wa kutangaza kuanza kutumika kwa Huduma ya M-pesa kukusanyia marejesho ya mikopo kwa wanufaika wa bodi hiyo. Kushoto ni Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Salum Mwalim na Mkurugenzi wa Urejeshaji Mikopo wa Bodi Juma Chagonja.
Meneja Uhusiano wa Nie wa Vodacom Salum Mwalim akiongea Wakati wa uzinduzi wa huduma ya urejeshaji mikopo kwa Bodi ya Elimu ya Juu nchini kwa kutumia M-pesa. Katikati ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi hiyo Asangye Bangu na Mkurugenzi wa Urejeshaji wa Mikopo Juma Chagonja. 

No comments:

Powered by Blogger.